8 students

Kozi hii ina moduli yenye msingi wa uongozi na usimamizi wa msikiti

Walengwa: Maimamu wasaidizi wao, Makatibu wa misikiti, Waweka Hazina, Wajumbe, Bilali na wahudumu wa msikiti.

Baada ya kumaliza kozi hii na kufaulu mtihani mhitimu atapewa cheti na Baraza Kuu la Waislam chini ya Ofisi ya MUFTI kikiwa kimesainiwa na Mufti mwenyewe.

Faida ya Kozi hii:

  • Kupata maarifa ya uongozi na usimamizi wa msikiti
  • Kupata elimu kwa manufaa yako na jamii kwani kuna mengi kuhusu miradi na umuhimu wa uchumi
  • Kupata CV ya kitaalamu na kuwa kiongozi wa msikiti aliyesomea uongozi wa msikiti
  • Kupata cheti cha Uongozi na usimamizi wa msikiti kilichosainiwa na MUFTI wa Tanzania

 

 

Curriculum is empty

Instructor

BAKWATA ni Taasisi ya Waislam Tanzania inayounganisha taasisi zote za waislam Tanzania.

0.00 average based on 0 ratings

5 Star
0%
4 Star
0%
3 Star
0%
2 Star
0%
1 Star
0%
Free

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

wpChatIcon