Contents
- 1.UTANGULIZI. 4
- 1.1 DHIMA YA BAKWATA KUSOMESHA UCHUMI NA UJASIRIA MALI: 4
- 1.4 MALENGO YA MODULI: 6
- 1.5 MADA KUU ZA MODULI. 6
- 1.6 UFAULU WA MODULI. 7
- Maana ya uchumi 7
- 1.Dhana ya uchumi katika uisilam.. 8
- QUIZ/BRAIN STORMING –BANGUA BONGO -1. 10
- (a) Rasilimali watu. 10
- Rasilimali watu maana yake nini?. 10
- QUIZ/BRAIN STORMING –BANGUA BONGO -2. 12
- (b) Rasilimali fedha. 12
- (c)Rasilimali vitu (kama majengo , magari, ardhi n.k) 12
- Maana ya Raslimali vitu. 13
- (d)Rasilimali muda. 13
- Muda ni nini?. 13
- Maana ya kutunza muda (Time management) 14
- 1.Aina za uchumi 15
- 1.1Uchumi wa kiwango cha chini (micro economics) 15
- 1.2 Uchumi wa kiwango cha juu (macro economics) 15
- Dhana ya jumla ya ukuaji wa uchumi na dhana ya maendeleo ya watu katika jamii 15
- QUIZ/BRAIN STORMING –BANGUA BONGO-3. 16
- Ushiriki wa Muisilam katika kuujenga uchumi 16
- Mtu mmoja mmoja katika familia. 16
- QUIZ/BRAIN STORMING –BANGUA BONGO -4. 17
- Mtu mmoja mmoja katika taasisi zetu za kidini 17
- QUIZ/BRAIN STORMING –BANGUA BONGO -5. 17
- Taasisi za kidini 17
- QUIZ/BRAIN STORMING –BANGUA BONGO -6. 18
- MADA NAMBA 2: MTAZAMO JUU YA UJASIRIAMALI. 18
- Maana ujasiriamali 18
- Sifa za mjasiriamali 19
- Kuthubutu. 19
- Nidhamu. 19
- Umakini na uelevu. 19
- Dhamira. 20
- Kuwa na uwezo wa kuongoza. 20
- Kupenda kufanya kazi (kufanya kazi kwa bidii na maarifa) 20
- Uaminifu na ukweli 20
- Kwenda na wakati 20
- Matumizi ya TEHAMA katika kukuza ujasiriamali 20
- MADA NAMBA 3: MTAZAMO WA AJIRA NA SOKO LA AJIRA.. 22
- SOKO LA AJIRA NA MTAZAMO WA AJIRA.. 22
- 3.1.1 SOKO LA AJIRA.. 22
- 3.1.2 MTAZAMO WA AJIRA.. 22
- AJIRA ni nini?. 22
- UKWELI KUHUSU AJIRA.. 23
- Mnyororo wa thamani ni nini?. 24
- Maadili (Ethics) 24
- Weledi (Professionallism) 24
- Ubunifu (Creativity) 25
- Mtazamo (Altitude) 25
- Stadi za mawasiliano (Communication skills) 25
- QUIZ/BRAIN STORMING –BANGUA BONGO -7. 25
- MADA NAMBA 4: MAANA YA KAMPUNI, USAJILI WA KAMPUNI, FAIDA NA KANUNI ZA UENDESHAJI WAKE. 26
- MAANA YA KAMPUNI. 26
- WAKALA YA USAJILI WA BIASHARA NA LESENI (BRELA) 27
- AINA ZA KAMPUNI. 28
- Kampuni ya umma (Public company) 28
- Kampuni binafsi (Private company) 28
- Kampuni za kisheria (Statutory company) 29
- Kampuni ya kigeni (Foreign company) 29
- QUIZ/BRAIN STORMING –BANGUA BONGO -8. 29
- USAJILI WA KAMPUNI. 29
- JINA LA KAMPUNI. 29
- SHUGHULI (BIASHARA) 30
- WAMILIKI (SHAREHOLDERS) 30
- KUSAJILI KAMPUNI. 30
- FAIDA ZA KUSAJILI KAMPUNI. 31
- KUPATA KAZI. 31
- WAFADHILI. 31
- KODI. 31
- MALI. 32
- KUFANYA BIASHARA ZAIDI YA MOJA.. 32
- QUIZ/BRAIN STORMING –BANGUA BONGO -9. 33
- UENDESHAJI WA KAMPUNI. 33
- KANUNI NNE ZA MENEJIMENTI. 33
- MAANA YA MENEJIMENTI. 34
- KANUNI NNE(4) ZA MENEJIMENT. 34
- Kupanga (Planing): Ni kuchagua. 35
- Kuratibu (Organize): MFUMO.. 35
- Kuongoza (leading): NIDHAMU.. 35
- Kudhibiti(Controlling): UFUATILIAJI NA TATHMINI. 35
- QUIZ/BRAIN STORMING –BANGUA BONGO -10. 36
- MTIHANI WA MODULI. 36
- MASWALI. 36
- VITABU VYA REJEA.. 38
- SAMPULI YA KARATASI YA MAJIBU (SAMPLE OF ANSWER SHEET) 39
-
KOZI YA UCHUMI NA UJASIRIAMALI
Mada zote ziko hapa na unaweza soma online kozi nzima, UKAJIBU MITIHANI
0.00 average based on 0 ratings
5 Star
0%
4 Star
0%
3 Star
0%
2 Star
0%
1 Star
0%
Sh10,000.00
Nahitaji kusoma
Asalaam aleikum warahmatullahi wabarakattuh!
Naomba nipongeze busara na hekima kubwa iliyotumika kujenga fikra hii.
Napendekeza viongozi wa dini wachukue pia kozi hii ili wauache mbali ufakiri. Kwani ufakiri waweza pelekea ukafiri — tuuogope na tuuepuke.
Namwomba Allah SWT Awatakabilie wote wanaochangia kudumisha na kuendeleza mfumo huu.
Pongezi za pekee ziende kwa Kiongozi wetu mpendwa Mufti wa Tanzania Shekh Abubakar Ally Bin Zuber kwa kutuamsha, kutuhamasisha na kutuongoza katika hili. Jazakallahu Khayr.
Aleikum salaam ALHAMDULILLAH
Nashauri pia pawepo kitengo maalum ambapo khutba za Kiongozi wetu Mufti Tanzania Shekh Abubakar Ally Bin Zuber zitawekwa ili kilaapitaye apate fursa ya kuzipata zikiwa zimeainishwa katika mgawanyo wa maudhui. Kwa mfano:
https://www.youtube.com/watch?v=tvdZjDH7lYM
https://www.youtube.com/watch?v=orbW61eeGhs
Wazo zuri