One thought on “UONGOZI,UTAWALA BORA NA TEHAMA

  1. Endelea na juhudi za kuitafuta picha ya msikiti wa kinondoni.

  2. Inapendeza kwa viongozi wa Bakwata katika ngazi zilizotajwa kupatamafunzo haya ili kusaidia kuwajengea uwezo wa kutekeleza majukumu ya kiuongozi katika maeneo yao.

  3. Ni jambo jema hongera kwa kuthubutu kulifanya hili mtandaoni, litakuza fikra za viongozi na utawala bora pia.

  4. Jambo jema sana… Hongereni kwa kuanzisha hili, maoni yangu ni kwamba mafunzo haya yarudiwe tena na tena kwa sababu kuna wengine bado hawajapata wasaa kwa kipindi hiki kutokana na sababu mbali mbali. Allah awalipe zaidi tuzidi kuboresha program hii.

Comments are closed.

wpChatIcon