Asalaam aleikum warahmatullahi wabarakattuh!
Naomba nipongeze busara na hekima kubwa iliyotumika kujenga fikra hii.
Napendekeza viongozi wa dini wachukue pia kozi hii ili wauache mbali ufakiri. Kwani ufakiri waweza pelekea ukafiri — tuuogope na tuuepuke.
Namwomba Allah SWT Awatakabilie wote wanaochangia kudumisha na kuendeleza mfumo huu.
Pongezi za pekee ziende kwa Kiongozi wetu mpendwa Mufti wa Tanzania Shekh Abubakar Ally Bin Zuber kwa kutuamsha, kutuhamasisha na kutuongoza katika hili. Jazakallahu Khayr.
Nahitaji kusoma

Aleikum salaam ALHAMDULILLAH
Nashauri pia pawepo kitengo maalum ambapo khutba za Kiongozi wetu Mufti Tanzania Shekh Abubakar Ally Bin Zuber zitawekwa ili kilaapitaye apate fursa ya kuzipata zikiwa zimeainishwa katika mgawanyo wa maudhui. Kwa mfano:
https://www.youtube.com/watch?v=tvdZjDH7lYM
https://www.youtube.com/watch?v=orbW61eeGhs
Wazo zuri