Jaza fomu hii kwa makini hadi mwisho, HAKIKISHA UMEBONYEZA KITUFE KILICHOANDIKWA “BONYEZA HAPA KUSAJILIWA“ NA UTAONA UJUMBE UNATOKEA WA HONGERA
SOMA MAELEZO HAPA CHINI
Dunia ya sasa inahitaji maarifa mbali mbali ili kumudu shughuli za kila siku. Kiongozi wa BAKWATA na Waislam wote tutumie fursa hii ya kusoma na kupata vyeti tukiwa maeneo yetu kupitia mawasiliano ya simu na vifaa vingine vya TEHAMA. Wasiokuwa na simu watapewa vitabu na watasoma na wenzao kupata maarifa zaidi kikazi. HAWAWEZI KUWA SAWA WANAOUJUA NA WASIOJUA. KIONGOZI/MUISLAM hakikisha umesoma kozi 3 na una vyeti angalau vitatu kabla ya uchaguzi wa BAKWATA. Elimu ikitumika itazaa matunda kwa manufaa yako na waislam kwa ujumla
MALIPO YOTE YANALIPWA BENKI
NMB BANK
NAMBA YA ACCOUNT NI: 22610019805
JINA LA ACCOUNT NI: MUFTI OFFICE ACCOUNT
UKISHALIPA TUMA BENKI SLIP WHATSAPP NA.0764244867 na utaratibu wa kupata namba ya usajili na masomo utafuata haraka, InshaaAllah.